Mr Difference Kichocheo Cha Kiswahili ni kitabu cha marudio(kwa mwalimu na wanafunzi wa gredi ya 7,8 na 9) ambacho kimeandaliwa kuwa mwenzi wa mwanafunzi katika safari yake anapokuza maadili,maarifa na stadi mbalimbali katika mtaala wa umilisi(CBC).
Kitabu hiki kina shughuli ainati za kuimarisha uelewa wa dhana muhimu , na mbinu za kuathmini zinazogemea udadisi katika ujifunzaji. Maelezo kuhusu mbinu hii yameangaziwa katika kurasa za utangulizi za kitabu hiki.
Reviews
There are no reviews yet.